MESS JACOB CHENGULA AMEACHIA WIMBO WA KABILA YA WAKINGA KATIKA YOUTUBE SIKU YA IJUMAA 19.09.2014 UNAITWA Ndithzile
Mess Jacob Chengula
Usiyemfahamu Mess Jacob Chengula, huyu ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambaye ameimba wimbo unaotikisa Africa wa "Mungu Habadiliki" na sasa ameachia wimbo wake wa kabila la KIKINGA. Wakinga ni watu wa mkoa wa Iringa huko Makete Ukingani, na Mess Jacob Chengula ni Mkinga anayetokea huko UKINGANI ila anafanya kazi zake hapa Dar es Salaam. Unaweza kumpata katika blogu yake ya www.messchengula.blogspot.com..
Sikiliza wimbo huu
Katikati ni DVD ya Mess Chengula na picha zingine zinaoonyesha mikutano na matamasha aliyohudhuria na kuifanya
Comments