RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WANANDOA OCTAVIAN MAHEMBE NA CHRISTINA KIWHELE BAADA YA KUVISHANA PETE YA NDOA KATIKA KANISA LA NABII FLORA WALIHAMIA KATIKA HOTEL KUBWA NA YA KIFAHARI YA GIRAFFE DAR SALAAM KUPUNGA UPEPO


 Mwinjilisti Octavian Mahembe ambaye aliweza kubadilisha jina la mke wake Christina Kiwhele na kuitwa Christina Mahembe baada ya kumvisha pete ya ndoa katika kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji hapa DSM chini ya Nabii Flora siku ya Jumapili 21.09.2014, waliweza kuelekeza majeshi yao katika hotel ya Giraffe iliyoko Mbezi Beach kwa lengo zima la kupumzika na kupiga picha za kumbukumbu. Picha zilipigwa na blogger wenu Rulea Sanga (+255 715 851523). Tuone baadhi ya matukio yaliyoajaili siku hiyo.

Kama ungependa kuona matukio yote basi tembelea www.nabiiflora.blogspot.com au ingia katika facebook accout ya Nabii Flora kwa kutumia jina la Nabii Flora.

 Wanadoa wakiingia ndani ya Giraffe Hoel

Blogger Rulea Sanga

 Octavan Mahembe na Christina Mahembe









 Christina Mhembe akiwa na mama mkwe wake..pendezaaaa...









 Wanandoa wakiwa na wazazi wa upandewa bibi harusi na ndugu yao wa upande wa kulia







Rulea Sanga

Rulea Sanga

Rulea Sanga

Comments