RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

SIKILIZA MJADALA KUHUSU KITABU CHA "THE MIRROR" CHA NABII TB JOSHUA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA KIINGEREZA


Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kujua mengi kutoka katika kitabu kinachopendwa na watu wengi duniani cha Nabii TB Joshua cha THE MIRROR, Rumafrica iliona ni vizuri ikakaa na watumishi wa Mungu na kukijadili hiki kitabu kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili. Ninakuomba sana wewe unayetamani kuongeza imani yako ya kumtumikia Mungu kwa kusikiliza discusion yetu hii utabadilika, kwani kitabu hiki kinaelezea sana IMANI. Waliohusika katika mjadala huu ni Rulea Sanga, Mch. Faith Mbatha kutoka Kenya, mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Grace Rwegasha na Mch. Lucy ambaye pia ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania.

Kutoka kulia ni Mchungaji Lucy, Mchungaji, Faith Mbatha (Kenya) na Mwimbaji wa nyimbo za Injili wa Grace Rwegasha

Hii ni clip PART 1 kunaPART 2 utaipata si muda mrefu. Mungu akubariki sana. Na kama unahitaji kuwasiliana nasi ni +255 715 851 523

Comments