Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo wakati alipotembelea mazingira ya shule hiyo.
Mhe. Mbatia akitizama moja ya chumba katika bweni la wasichana la Shule ya Sekondari Bishop Moshi , chumba ambacho kimewekewa miundombinu mizuri ikiwemo milango kila mahali jambo ambalo linasaidia pindi kunapotokea majanga yakiwemo ya moto.
Mbatia akizungumza jambo mara baada ya kuingia katika chumba maalumu cha kujifunzia Kompyuta na kukuta bado shule hiyo wanatumia komputa zilizopitwa wakati.
Mbatia akitizama baadhi ya vitabu katika maktaba ya shule hiyo, kulia ni mkuu wa shule hiyo, Sophia Mushi.
Mbatia akitizama bweni la wavulana baada ya kutembelea shuleni hapo.
Comments