Mungu anatenda kwa kupitia watumishi wake aliowaweka duniani kwa kazi yake. Leo hii Mungu anamtumia sana mtumishi wake Nabii Flora Peter kuwasaidia watu mbalimbali wenye uhitaji. Nabii Flora Peter ambaye kila siku anapatikana kanisani akiombea watu na kuwafundisha Neno la Mungu bila ya kuchoka. Watu wamekuwa wakishuhudia mambo mbalimbali wanayotendewa na Mungu kwa kupitia Nabii Flora Peter. Ninakuomba usome shuhuda hizi mbili tu.
Nabii Flora Peter akisikiliza waumini wake na baadae kuwaombea.
SHUHUDA

WINIFRIDA ANAMSHUKURU
MUNGU KWA KUWEZA KULIPA MADENI YOTE NA PIA MAMBO YAKE MENGI YAMEFUNGULIWA BAADA
YA KUTUMIA STICKER YA NABII FLORA
Bwana Yesu asifiwe, naitwa Winifrida; dada yangu alinishuhudia kupitia sticker, akaniambia mdogo wangu kupitia sticker utaenda kufunguliwa, nilikuwa nimeshashindwa kabisa nimekata tamaa, nikamwambia itawezekanaje kupitia sticker? Akasema kwa imani kama utaamini utaenda kupokea miujiza. Basi nikamwambia kupitia hii sticker naondoka nayo, lakini akaniambia kumbuka kusema kitu kimoja, ukifika nyumbani weka sticker kwenye maji alafu kunywa, sema Mungu wa Nabii Flora naomba unitendee miujiza. Nilipofika nyumbani nikachukuwa maji nikaiweka hii sticker, nikamwambia Mungu wa Nabii Flora nataka kupitia sticker hii nikuone, kesho nataka kuonana na Nabii Flora naomba nitakapofika mambo yangu yote yakaonekane.
Kweli nilifika Kanisani, nilipokuwa nimekaa nikawa nasema Mungu wa Nabii Flora nataka nikuone, nilienda kuonana na Nabii Flora, nikamwambia nimekuja kuchukuwa sticker tu. Wakati Nabii ananiombea akaniambia kwamba mbona moyo wako unaumia mume wako yuko wapi? Nikamwambia tumeachana naye, Nabii akaniambia nakupa siku saba mumeo atakuomba msamaha. Nimetoka kwa Nabii kurudi kwenye kiti nikakuta missed call za mume wangu mbili, sikupokea muda ule nikasema huu muujiza wangu siuachii, nikakaa mpaka ibada ya jioni, nilivyokaa mpaka ibada ya jioni, nikamwambia Mungu bado nataka nikuone kila kilichofungwa ndani yangu naomba ukanifungue leo nisitoke na kitu chochote. Kweli nilimuona Mungu, nilifunguliwa sana, na Nabii akasema mwanangu utaenda kubarikiwa, kwa kweli sasa hivi sina deni hata la mwenye nyumba, nishalipa kodi ya nyumba na ninamuona Mungu kila iitwapo leo, na Mungu wa Nabii Flora ainuliwe sana.

SILIVIA KAVISHA
ANAMSHUKURU MUNGU KAKA YAKE AMEPONA NA PIA YEYE AMEPATA MUUJIZA WA PESA NA
KUWEZA KULIPA DENI BAADA YA KUTUMIA STICKER YA NABII FLORA
Bwana Yesu asifiwe, naitwa Silivia Kavisha; namshukuru Mungu wa Nabii Flora amenitendea mambo mengi sana, kaka yangu alipata ajali Zanzibar alikuwa afanyiwe operation ya kichwa kwa sababu damu iliganda kwa ndani, nilifia kwenye maombi kwa Nabii Flora nikachukuwa na sticker, namshukuru Mungu kaka yangu hakufanyiwa operation tena, ile damu iliyayuka kabisa na walikuwa wamlete usiku huo huo kwa sababu hali ilikuwa mbaya sana. Nilikuwa nachukuwa picha yake naigandisha na hii sticker, akawa amepona kabisa na sasa hivi amesharudi kazini. Pia nimetendewa muujiza kupitia hii sticker, nimepata pesa nilikuwa na deni la shilingi laki moja, nilikuwa naumiza kichwa sana hiyo pesa nitaitoa wapi, namshukuru Mungu juzi Jumamosi nimepata muujiza wa hiyo pesa na nimeweza kumlipa. Baada ya kulipa hilo deni nikapata tena muujiza wa shiingi elfu hamsini, namshukuru sana Mungu.

JINSI YA KUFIKA KANISA LA YESU KRISTO
HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI MBEZI SALASALA DAR ES SALAAM TANZANIA
Kama unatokea Mwenge
panda magari ya Tegeta shuka kituo cha Mbezi Mbuyuni na uliza kanisani kwa
Nabii Flora
Wasiliana na Octavian
Mahembe kwa simu +255 716 310 661
Nabii Flora Peter Kwa
simu +255 657 442 699
au Tembelea
www.nabiiflora.blogspot.com
Facebook: Nabii Flora Peter
Comments