WAIMBAJI KUTOKA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA SIKU YA KWANZA WAKIELEKEA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA K.K.K.T USHORA KIBAYA SINGIDA KUFANYA UMISHENI. HII NI BAADA YA KUFANYA MAOMBEZI NYUMBANI KWA MH. MARTHA MLATA KIJIJINI KWAKE USHORA KIBAYA
Baada ya maombezi kumalizika nyumbani kwa Mh. Martha Mlata, waimbaji wa nyimbo za Injili kwa mara ya kwanza walifunga safari kuelekea katika viwanja vya kanisa la KKKY Ushora Kibaya ambako shughuli nzima ya umisheni ilikuwa ikifayika.
Chama hiki cha Muziki kilikuwa na malengo ya kufanya umisheni katika kijiji hiki cha Ushora ikiwa pamoja na kuhubiri, kufanya tamasha la uimbaji, kupanda miti, kuliombea taifa la Tanzania Amani na Utulivu na pia kuonyesha sinema za maisha ya Yesu Kristo na mafundisho mbalimbali.
Waimbaji hawa baada ya kuona watu wengi wamekuwa wakifanya huduma mijini tu na kusahau kuwa kuna watu vijijini hawapati mafundisho ya Mungu na hawatiwi moyo na waimbaji wakubwa ambao kwa neema ya Mungu wamekubalika na jamii na kuheshiwa, waliona sasa ni wakati wa kuhubiri injili vijijini.
Sasa ngoja tuone baadhi ya picha za waimbaji wakielekea katika viwanja vya kanisa la KKKT Ushora Kibaya.
Edson Mwasabwite (kulia) akiwa ameongozana na Mh. Martha Mlata
Edson Mwasabwite na Mh. Martha Mlata wakiwa katika picha ya pamoja
Mh. Martha Mlata (kulia) na Ann Annie
Mh. Martha Mlata (kulia) na Ann Annie
Kutoka kulia ni Camera man Dany, Mh. Martha Mlata na Edson Mwasabwite
Kulia ni Rulea Sanga wa Rumafrica
Waimbaji na wachungaji wakielekea katika eneo la tukio kwa kazi ya Bwana
Lilian (kulia) akiwa na Mh. Martha Mlata
Mh. Martha Mlata akishuka
WAIMBAJI, WACHUNGAJI, WAGENI WAAALIKWA
Baada ya kumtumiakia Mungu waimbaji na wachungaji walirudi nyumbani kupata chakula cha mchana
Baada ya kumtumiakia Mungu waimbaji na wachungaji walirudi nyumbani kupata chakula cha mchana
Mch. Bupe Kingu (kushoto) na Mch. Vaileth (Arusha)
Katibu Mwenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel
Rulea Sanga (kulia) na Ann Annie
Rulea Sanga (kulia) na Ann Annie
Kutoka kulia ni Mh. Martha Mlata, Mh. Margreth Sitta
Comments