Watu kibao waliweza kufika katika kanisa la WordAlive Sinza Mori kwaajili ya kumtukuza Mungu siku ya pili ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo na pia lenengo la kuanda mkesha mkubwa uliyo waleta waimbaji mbalimbali, mitume, wainjilisti, walimu na wachungaji ilikuwa ni kuongoza ibada ya Sifa na Shukrani kwaajili ya mwaka huu 2014 kuelekea mwaka 2015. Kanisa hili linaongozwa na Mchungaji Deo Lubala na limekuwa likiwabariki maelfu ya watu hasa waliobahatika kufika na kuombewa.
Siku ya jana waimbaji mbalimbali waliweza kumtukuza Mungu kwa kumuimbia na kumcheza. Hakika jana ilikuwa ni siku ya pekee sana. Nisikuchoshe sana ila angalia matukio kwa njia ya picha.
Rulea Sanga (kushoto) na Linah Sanga ndani ya kanisa la WordAlive
Rulea Sanga aliyeshika kamera
Rulea Sanga aliyeshika kamera
MC
MC Bony Magupa
Mmoja wa waumini wa kanisa la WordAlive akiwakaribisha wageni waliofikakatika kongamano hilo
Jessica Honore mke wa Bony Magupa
Emmanuel Mabisa (katikatika) kiongozi wa GWT
Jessica Honore
Jessica Honore
Mchungaji wa kanisa la WordAlive Deo Lubala (mwenye shati ya draft
John Lisu
BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KIDOGO KUONA MATUKKIO MENGINE
Dancers waliyokuwepo kucheza kwaajili ya Bwana
Mc Boniphace Magupa akiwajibika
Apostle Deo Rubala akifuatilia kwa umakini kile kinachoendelea madhabahuni katika ibada ya mkesha.
Wanamuziki wa Doxsers wakianzisha shangwe.
John Honore nae alikuwepo.
Wadada wa Doxsers wakiwa tayari jukwaani
Kina kaka nao pia walikuwepo.
Shughuli ikaanza.
Apostle Deo akiabudu.
Emannuel Mabisa, Lina Sanga (wa katikati) nao walikuwepo kuabudu.
Angel Benard nae alikuwepo kumshusha roho mtakatifu, kwa kipawa alichopewa.
Doxsers wakarudi tena jukwaani.
Shangwe zikaendelea.
Apostle Rubala (aliye simama), Mch. Vernon Ferdnandes pamoja na mkewe (waliyo keti) nao walikuwepo mkeshani.
John Honore pamoja na Emmanuel Gripper wakitumika.
Vijana nao hawakukosa aina yao ya muziki wanaoupenda.
"John Lissu is coming??"
"Katikati ya wafalme, hakuna mfalme kama wewe"
Mama kijacho, Sara Shilla nae pia alikuwepo kumshusha roho.
Misericordias
JAELA nao " wakainua macho yao juu, kumtazama Mkombozi wa Ulimwengu"
Elizabeth pamoja na Jackline wa JAELA wakiimba kwa dhati.
Art in Christ waliuburudisha umati kwa mchezo wao wa jukwaani (Drama), uliokuwa gumzo.
Paul Clement nae alikuwepo.
Comments