MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI YOHANA KUBANDA APATA BINGO YA KUTEMBELEA UOTO WA ASILI TARANGILE TANZANIA...SIKILIZA CHANZO CHAKE
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania aliyejitoa katika uimbaji wa Bongo Fleva na kuhamia upande wa kumtumikia Yesu Kristo kwa njia ya uimbaji Bwana Yohana Kubanda. Baada ya kufanya mahojiano ndani ya Rumafrica Online TV, wafadhili walijitokeza na kutambua kile alichokuwa akizungumza na kuona ni cha muhimi sana.
Mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania Yohana Kubanda
Mwimbaji huyu mbali na uimbaji pia ni mcheza sarakasi, msanii wa filamu, mchekeshaji. Katika interview hii utapata kuamini ninachokisema na utavunjika mbavu kwa kucheka. Sikiliza sasa..

Comments