RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

J-SON PRODUCTION KUANZA KAZI RASMI


Logo imetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523

J-Son Production ni kampuni ya mwigizaji wa filamu Tanzania, Jeniffer Kyaka (Odama) ambayo imeanza kazi hivi karibuni. Kampuni hii inajishughulisha na kuandaa documentary, shooting katika maharusi, sherehe, mikutano, kitcheni Party, mikutano ya dini na serikali, film production (kutengeneza filamu), picha mnato, tunaazimisha kamera n.k. Unaweza kuwasiliana nao kwa simu +255 715 851 523
 imetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523



Comments