RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ANGALIA MAANDALIZI YA TAMASHA LA FLORA MBASHA ILIVYOKUWA NDANI YA UKUMBI WA UBUNGO PLAZA-DAR

Rumafrika katika harakati zake za kuhakikisha tamasha la Flora Mbasha linaenda sawa iliweza kufika katika ukumbi wa Ubungo Plaza na kujionea watu wakiwa bize sana kwa kazi ya Mungu. Wataalum wa muziki, wapambaji na waandishi wa habari kama Clouds TV wakiwakilishwa na Uncle Jimmy wa kipindi cha CHOMOZA walifika eneo hilo la tukio kuchukua habari mbalimbali.

Rumafrica ilijikita katika kitengo cha kuandaa eneo la Red Carpet na kazi zote za matangazo kwa njia ya mitandao, posters, tickets, tshirts, banner, flyers, cards vililifanyika na Rumafrica.

Kiukweli Mtumishi wa Mungu Flora Mbasha alijipanga kuhakikisha watu watakao fika watapata kile ambacho Mungu alikiweka ndani yake kwa muda mrefu. Tukumbuke ya kwamba Flora Mbasha hajawahi kufanya tamasha lolote la uzinduzi wa DVD zake zote alizowahi kuzitoa tangia ameanza kumtumikia Mungu. Tamasha hili lilifanyika siku ya Jumapili 14/06/2015 na Mgeni Rasmi alikuwa Mh. Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA.
Hii kwake ilikuwa ni surprise. Sasa tuone mabo yalivyokuwa kwa njia ya picha.

 Rulea Sanga kutoka Rumafrica akiliweka sawa bango lililotengezwa na Rumafrica

Rulea akijaribu kuliweka sawa bango




Kazi ya Rumafrica
 Mzee wa Rumafrica, Rulea Sanga akiwa katika ABS Board ya kupigia picha. Board hiyo imetengenezwa na Rumafrica
Huyu alikuwa mtu wa kuhakikisha kuna usalama
 Rulea Sanga wa Rumafrica
 Kulia alikuwa mdada wa kuhakikisha kila jambo linaenda sawa

 Mwanakamati akienda sawa
 Flora Mbasha katikati
 Flora Mbasha
Poziii hili linanikumbusha mbali sana
 Kulia ni Rulea Sanga akifuatia Flora Mbasha na wanakamati

BONYEZA "READ MORE: HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO KUONA MUENDELEZO WA MAANDALIZI HAYA





 Flora Mbasha na kaka yake Peter

 Flora Mbasha na mwanakamati
 Rulea Sana na Peter



xx


 Huyu alikwa dereva wa Flora Mbasha






BONYEZA HAPA KUANGALIA MH. FREEMAN MBOWE AKITOA HOTUBA YAKE BAADA YA KUPOKEA RISALA AMBAYO ILIANDALIWA NA FLORA MBASHA NA KUCHAPWA NA RUMAFRICA.

Comments