RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MTANGAZAJI WA REDIO MOJA ARUSHA BWANA JOHN PAZIA ALIWEZA KUFUNGUKA JUU YA WAIMBAJI WA GOSPEL CHINI YA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA (CHAMUITA)

Ni saa sita Na Dk 10 Usiku Ndio Nimemaliza Interview Katika Kipindi Cha ‪#‎WorshipSite‬ Na HaWaimbaji Wa Muziki Wa Injili Tanzania Kutoka Chama Cha Muziki Wa Injili Tanzania CHAMUITA TAIFA Waliokuja Arusha Kwa Ajili Ya Kongamano Kubwa La Kusifu Na Kuabudu Pamoja Na Maombezi,Kongamano Hilo Ni Siku Mbili Na Linafanyika Pale Katika Kanisa La St James Kaloleni JumaAnn Annie, New-Life Band Tanzania Mtys,Enock Jonas,Mama Jusi Kwaya Nk Usikose Mtu Wa Mungu.

Jumamosi Na Jumaoili Hii Kuanzia Saa Tatu Kamili Asubuhi,Waimbaji Wa Gospel Kutoka Kila Kona Ya Tanzania Watakuwepo Kama Vile Addo Novemba,Stella Joel,Tumaini Njole,Madam Ruth,Edson Mwasabite,Faraja Ntaboba,Pastor Lucy,Annie

Comments