Waimbaji wa nyimbo za INJILI Tanzania chini ya Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania kutoka mikoa mbalimbali, makanisa tofauti ya Kikristo, wameungana pamoja na kuamua kufika jijini Arusha kwa kazi moja tu ya kufanya maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania kuwa na Amani na Utulivu hasa kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Rais. Pia kutakuwa na kipindi cha kusifu na kuabudu ambapo waimbaji na wadau wa nyimbo za Injili wataweza kumtukuza Mungu na kufurahi na wakazi wa jiji la Arusha.
Katibu Muenezi wa CHAMUTA Stella Joel kwa njia ya Watsap amesema watu kutoka sehemu mbalimbali wanazidi kufurika katika eneo la kufanyia kongamano wakiwa na furaha na matumaini makubwa ya Mungu kufanya kitu katika maisha yao kwa kupitia watumishi wa Mungu. Rumafrica itazi kwajuza mambo yanatoendelea jijini Arusha. Ukitaka kujua zaid soma tangazo hapo chini.

Mch. Lucy (kushoto) na Katibu Muenezi CHAMUITA Taifa, Stella Joel (kulia) walivyokuwa wakielekea Arusha
Waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Dar es Salaam walivyokuwa wakielekea Arusha. Kutoka kushoto ni Lilian Kimola, Catherine Mdii, Joyce Ombeni na Furaha Isaya
Waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Dar es Salaam walivyokuwa wakielekea Arusha. Kutoka kushoto ni Lilian Kimola, Catherine Mdii, Joyce Ombeni na Furaha Isaya
MAPOKEZI MJINI MOSHI
Mch. Lucy (kushoto) na Katibu Muenezi CHAMUITA Taifa, Stella Joel wakiwa mjini Moshi wakipata chai tayari kwa safari ya Arusha
Chai na maongezi yakiendelea
Mwenyeji wao, Pokea Kamata (kushoto) wakiwa mjini Moshi wakipata chochote kinwywani
Rais wa CHAMUITA Taifa, Addo Novemba (kulia) akiwa na wenyeji wa mjini Moshi
BONYEZA READ MORE HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO KUONA MATUKIO MENGINE
BONYEZA READ MORE HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO KUONA MATUKIO MENGINE
Kutoka kushoto ni Yeronimo Mwalo. Pokea Kamata, Addo Novemba, Stella Joel na Mch. Lucy wakiwa Moshi
Comments