RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DK. FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC KUMWAGA ZAWADI KWA WAASOMAJI


Daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Fadhili Emily.

Mwandishi wetu
DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Fadhili Emily amewataka wasomaji wa Magazeti Pendwa kukaa mkao wa kula kwani ataanza kutoa zawadi mbalimbali kupitia mashindano.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Dk. Fadhili ambaye amekuwa akidhamini mashindano mbalimbali ya magazeti ya Global Publishers, alisema kwa kuanzia, wasomaji wa Gazeti la Amani, watazawadiwa ‘flat screen’.

“Utaratibu utatangazwa soon lakini wasomaji wa Magazeti Pendwa waendelee kuyasoma maana ndiyo yanayoongoza kwa kuwa na habari motomoto na zawadi nzuri,” alisema Dk. Fadhili.
Dk. Fadhili ambaye hospitali zake zipo katika mikoa mingi nchini, yupo nchini Sweden alikokwenda kuongeza ujuzi wa kimatibabu na anatarajia kurejea nchini wiki hii.

Comments