PASTOR LUCY WILSON AMBAYE NI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AFUNGUKA NA KUONGEA LIVE NA RUMAFRICA GOSPO Online TV KUHUSU UZINDUZI WA ALBAMU YAKE YA DUNIANI KOTE
Pastor Lucy wilson amweza kusema mengi sana kuhusiana na uzinduzi wa albamu yake ya DUNIANI KOTE utakaofanyika hivi karibuni. Rumafrica iliona ni vizuri ikakuletea mtumishi huyu kwa njia ya Rumafrica Gospo Online TV ili uweze kumsikia mwenyewe akizungumzia tamasha lake. Kama utahitaji kuwasiliana naye basi mpigie kwa simu +255 655 337 890. Ukihitaji kufanyiwa tangazo kama hili na bora zaidi basi wasialiana nasi kwa simu +255 715 851 523. Matukio ya tamasha hili yataonekana katika blogu hii www.rumaafrica.blogspot.com.
Comments