Kutokana na Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa
kufanyika siku ya Jumapili 25.10.2015 Kanisa la Mlima wa Moto Assemblies
of God liliamua kufanya ibada yake siku ya Jumamosi ili kuwaacha
waumini wa kanisa hilo kuwa huru siku ya Jumapili kuwacgagua Raisi na
viongozi wanaowataka.
Siku ya Jumamosi Askofu Msaidizi wa
kanisa hili Mch. Noah Lukumai aliweza kutoa Neno la Mungu kwako wewe
unayesona na kwa wale waliokuwepo katika ibada hii, na hivi ndivyo
ilivyokuwa, " Ninaomba ufuatishe maneno haya, sema,
“Katika Jina la Yesu, ninatangaza vita vya wapinzani, vianze kuachia
katika jina la Yesu. Kila mpango wa shetani ambao unapingana na ibada
hii sasa tunauharibu kwa jina la Yesu.
Kila roho ya mazoea
tunakwenda kuiharibu kwa jina la Yesu. Kuanzia sasa moyo wangu na
akilizangu zote zinakwenda kumtukuza Bwana. Kila Farao anayenifuatilia
natangaza gharika, sunami, hatari juu yake kwa Jina la Yesu. Taarifa zoe
mbaya zinazonifuata nikiwa kanisani leo ninaziahamisha kwa Jina la Yesu
Kristo. Sasa ninakuomba useme, “Fireeeee” mara saba. Mungu akubariki
sana….Amen.””
Tunakukaribisha kanisa kwetu Mlima wa Moto
Assemblies of God, lililopo jijini Dar es Salaam, Mikocheni “B”. Ukifika
Mwenge mataa waombe watu wa bajaji wakulete kanisa kwa mama Gertrude
Rwakatare. Siku ya Jumapili kunakuwa na usafiri wa bure saa 2 asubuhi
katika kituo cha Makumbusho au Mwenge Mataa.
Tembelea www.mountainoffiretanzania .blogspot.com au
www.rumaafrica.blogspot.co m
Facebook kwa jina la Mountainoffire Tanzania.
Tembelea www.mountainoffiretanzania
www.rumaafrica.blogspot.co
Facebook kwa jina la Mountainoffire Tanzania.
Comments