Baada ya kutoa filamu zake nyingi zilizopita, mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Jennifer Mgendi amenza mwaka mpya kwa kutoa fialmu yake mpya ya Wema ni Akiba. Mwaka jana alizindua albamu yake ambayo inaitwa WEMA NI AKIBA na mwaka huu akaona ni vyema akaachia filamu yake. Katika filamu hii kuna waimbaji wa nyimbo za Injili na waigizaji kutoka Bongo Movie. Endele kufuatilia blogu yetu utapata kujua mengi kuhusu filamu hii.
Poster hii imetengenezwa na Rumafrica +255 715 851 523
Comments