RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAFUTA NA MAJI YA UPAKO YANG'ANG'ANIWA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO SIKU YA JUMAPILI

Siku ya Jumapili 10.01.2016 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kulikwa na ugawaji wa maji, vitambaa na mafuta ya upako. Hakika watu wana hamu ya kutendewa na Mungu kupitia watumishi wake, katika zoezi hili la ugawaji kulikuwa na watu wengi sana walivamia madhabahu ili waweze kuyapata mafuta kwaajili ya matumizi yao na wengine kuwapelekea jamaa na ndugu zao. Mafuta, maji na vitambaa vya upako vina nguvu ya Kimungu kwani watumishi wa Mungu hutumia muda mwingi kuviombea na watu wamekuwa wakishuhudia jinsi Mungu alivyoweza kuwasaidia kwa kupitia maji, vitambaa na mafuta ya upako.

Rumafrica ndio iliyohusikia kuyatengengeza maji haya ya upako unaweza kuwasiliana nasi kwa simu +255 715 851 523







Comments