RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MCH FRIDA WA KANISA LA EFATHA DODOMA ANAKUPA UJUMBE KUTOKA KITABU CHA YOHANA


Mchungaji Frida Nyiti kutoka EFATHA MINISTRY- DODOMA Yohana 3:19-21 Watu wamelipenda giza kuliko Nuru hivyo wana Efatha tuna Kazi ya Kuhubiri INJILI ya KWELI ili watu walikimbie giza na kuifuata NURU. Wewe uliye mtu wa MUNGU usiogope Kuhubiri Injili ya Kweli Ofisini kwako, kwenye Biashara yako na mahali popote ili giza liondoke na NURU ifunuliwe Mahali ulipo.

Comments