RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MSANII WA MUZIKI WA INJILI KENYA BAHATI ATANGAZA KUACHA MUZIKI HUO.




Bahati amefanyiwa mahojiano na mtandao wa Pulse nakusema maamuzi hayo yamtokana na kupigwa vita na wasanii wengine wa muziki wa injili Kenya

“Nimeamua kuachana na muziki wa injili kwa sasa, nimeamua kuufuata moyo wangu, Wasanii wa gospel, kaka zangu, wamekuwa wakikutana kisiri kupanga anguko langu, Nina maumivu makali moyoni mwangu, Haina faida kuwa kwenye tasnia ya gospel tena,”

“Katika kiwango hiki, chuki hii inaweza hata kuniua. Kama wanaweza kwenda mbali zaidi kwa kutafuta ndugui zangu na watu wengine walio karibu na mimi kuwapa rushwa na kuwataka watunge uongo dhidi yangu, unadhani hawawezi kufanya chochote kunimaliza?”

Kwa sasa Bahati ameondoa picha zote kwenye mitandao yake ya kijamii.

FahamuTv.Com ni tovuti yako No. 1 kwa habari,picha na exclusive videos/interviews za wasanii duniani Bonyeza hapa KuSubscribe

Comments