RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

YALIYOJILI BUNGENI DODOMA LEO JANUARY 27

Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni mjini Dodoma Januari 27, 2016.


Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Joyce Ndarichako, bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016.
Waziri wa Habari,Utamaduni, Wasanii,na Michezo Nape Nnauye akitoa kauli Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, Bungeni mjini Dodoma January 27, 2016.
Mwenyekiti wa Bunge, Mtemi Andrew Chenge akiongoza kikao cha Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016. Kutoka kushoto ni Ruth Mollel wa Viti Maalu Chadema, Hawa Mwinga wa Viti Maalum Cahdema na Ali Saleh wa Malindi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya wabunge wametolewa nje kwa kushinikiza kujadiliwa kwa hoja ya Zitto Kabwe juu ya tamko la serikali la kusimamisha kurushwa matangazo ya moja kwa moja ya bunge kwenye TV taifa.

Serikali Yatoa Ufafanuzi Juu Ya Kutorusha Matangazo Ya Bunge

Comments