Kila jambo lina wakati wake. Kusubiri kuna faida..Kumuomba Mungu kwa jambo unalotaka kunalipa. Haya yamemtokea mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Beatrice Mwaipaja ambaye kwa kipindi fulani alikuwa akiomba apate yule wa kuishi naye, leo hii Mungu amejibu ma kumpa yule aliyempenda. Beatrice Mwaipaja ameonyesha mfano kwa waimbaji wengine ambao bado hawajapa wa kuishi nao na ametimiza lile agazo la Mungu la kutaka kila mmoja anatakiwa kuwa na yule wa kuishi naye. Rumafrica inakupongeza sana wa Beatrice Mwaipaja kupata mume mwema Bw. Jackson Joachim
Comments