VIDEO: PEACEKING DAVID ALIVYOWEZA KUHUDUMU KATIKA KANISA LA CITY HARVEST INTERNALIONAL TABATA DAR ES SALAAM
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Peaceking David kutoka Nigeria aliweza kufika katika kanisa la "City Harvest International" lilipo Tabata jiji Dar es Salaam. Aliweza kuimba nyimbo yake ya "Namweni Mungu Pekee" Naomba uangalie clip hii ya wimbo wake.
Peaceking David
Peaceking David
Tumaini Njole
King David
Mchungaji