RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

25.01.2017: PICHA ZA MCH. MUIRU KATIKA SEMINA YA SIKU 8 ZA KUVIKWA NGUVU MPYA KATIKA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMATANO

Siku ya Jumatano 25.01.2017 Mch. Muiru kutoka Kenya aliweza kufundisha neno la Mungu ambalo tunaliandaa kwa ajili yako katika semina ya siku 8 Za KUVIKWA NGUVU MPYA ZA BWANA katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Semina hii inaendelea mpaka Jumapili 29.01.2017 kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana. Siku ya Jumapili usafiri ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa ambapo utaona magari ya Mlima wa Moto.

kwahiyo endelea kufuatilia post zetu wakati tunakuandalia somo la Mch. Muiru

Mchungaji Muiru 







 
Mchungaji Muiru 

 
Mchungaji Muiru 


 

Mchungaji Muiru