RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MTOTO WA MTANZANIA PATRICIA AONGOZA KATIKA SHINDANO LA REGIONAL LEVEL, CHARLOTTE, NC



Mtoto Patricia Tayn (wa pili kushoto mwenye fulana ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wengine kutoka shule mbalimbali jimbo la North Carolina walioshiriki shindano hilo na yeye akiwa ni msichana pekee kuibuka mshindi kwenye mashindano ya Regional level katika masomo ya Sayansi na hisibati yaliyofanyika Charlotte, North Carolina siku ya Ijumaa March 24, 2017


Patricia Tayn mtoto wa mama Mtanzania anayesoma Blessed Sacrament Middle School ya Burlington, North Carolina ameibuka mshindi akiwa msichana pekee kwenye mashindano ya Regional level katika masomo ya Sayansi na hisibati yaliyofanyika Charlotte, North Carolina siku ya Ijumaa March 24, 2017.


Wapili toka kushoto ni Patricia Tayn akiwa katika picha ya pmoja n familia yake. wakwanza kushoto ni mama yake Scolla Tayn na watatu toka kushoto ni Bwn. Tayn baba ya Patricia.