RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WAZIRI MKUU WA TANZANIA MHE.KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI CHA MAURITIUS

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiendelea na ziara yake kutembelea Kiwanda cha Samaki cha Mer Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa samaki katika kiwanda cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa samaki katika kiwanda cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa samaki katika kiwanda cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius 

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitazama makasha yenye minofu ya samaki wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017. Wapili kulia ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohammed.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)