Kuna machungu na maumivu makali sana unayoyapitia maishani mwako,siyo kwamba yamesababishwa na shetani au umelogwa au ni kamba za mauti,,
HAPANAAA!!!
Na wala pia siyo mapito kama ya Yusuph,anayokupitisha Mungu ili akusafishe kwa moto kama dhahabu ijaribiwavyo,,,
HAPANA,HAIKO HIVYO KABISA!!
Chanzo cha yote hayo ni wewe mwenyewe,,
aidha;
>UMEIGOMEA NAFASI YA WITO WAKO KWA MUNGU..
AU
>UMEKUBALI KWA SHINGO UPANDE,HIVYO UNAJIFANYIAFANYIA ILI MURADI BORA LIENDE.
Luka 12:47
"Na mtumwa yule aliyejua mapenzi ya Bwana wake,ASIJIWEKE TAYARI,WALA KUYATENDA MAPENZI YAKE,
HUYO ATAPIGWA SANA"
i.e will be severely punished.
~UTAFAKARI LEO UTUMISHI WAKO,KISHA JIONGEZE~
Ujumbe huu pia ukufikie wewe ambaye bado hujampa Yesu maisha yako ili hali TAYARI MOYONI MWAKO UMEKUWA UKIUSIKIA MSUKUMO WA KUOKOKA,NA WAKATI MWINGINE BWANA AMEKUWA AKITUMIA WATU KUKUVUTA KWENYE WOKOVU,
ILA KWASABABU FULANIFULANI HAUTAKI,UMEGOMA KABISA..
OK,NAWEWE UTACHAPWA SANA MPAKA SIKU UTAKAPOKUJA KUKUBALIANA NA SAUTI YA MUNGU.

Comments