RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

25.02.2018: HAPPY KWAYA JOYBRINGER KWAYA KATIKA IBADA YA JUMAPILI ZAGUSA NAFSI ZA WATU

Happy Kwaya na Joybringers Kwaya za Mlima wa Moto Mikocheni "B" zimefanyika baraka sana katika ibada ya ISHARA, MIUJIZA NA MAOMBI YA MPENYO iliyofanyika katika kanisa la miujiza na ishara la Mlima wa Moto Mikocheni "B" ikiongozwa na Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Nyimbo zimeinua imani zetu na tumehisi uwepo wa Mungu ukituzunguka. Hakika ibada ilikuwa ni ya tofauti sana kupitia waimbaji hawa. Mungu ameweka kitu cha tofauti sana kwa watumishi wa Mungu hawa. Na hii inatookana na yale wanayoyapokea kutoka kwa Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na upako wa uimbaji anaoachia katika karama zao.

Wewe ambaye ulikosa ibada hii, tunakualika katika ibada ya Jumapili itakayoanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Kanisa limendaa usafir wa bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwenye mataa.

Nataka ni kuhakikishia kupitia nyimbo hizi utaona milango iliyofungwa ikifunguliwa kama utayasikia kinachoimbwa na kukifanyia kazi katika maisha yako. Amini watumishi wa Mungu na utafanikiwa.

 Victor Haron












Comments