RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Ushauri wa Mbasha kwa Jokate baada ya Ali Kiba kuoa




Siku ya April 19,2018 msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba alifunga pingu za maisha na mpenzi wake Amina Khalef, Mjini Mombasa nchini Kenya na mastaa mbalimbali walitoa pongezi zao kuhusiana na maamuzi hayo aliyoyafanya Ali Kiba

Kwa upande wa muimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha ameamua kumpa Jokate Mwegelo ushauri kuhusiana na Ali Kiba kufunga ndoa kutokana na tetesi zilizokuwa zikiwahusisha Ali Kiba na Jokate kuwa ni wapenzi lakini hawakuwahi kulithibitisha hilo popote.

>>>”Usihofu Mungu hajakuacha @jokatemwegelo yakwetu inakuja😀tv zote zitakuwa live ukumbini hadi wasafi tv😀😀”

Comments