RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Joe Praise Asherehekea Mwaka Mmoja Katika Ndoa.

Tarehe Kama Ya Leo Tarehe 17 June 2017, Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Joseph Omo Ebhodaghe Maarufu Kama Joe Praise Kutoka Nigeria, Alifunga Pingu Za Maisha Katika Kanisa la Christ Embassy Ikeja Lagos Na Mke Wake Aitwae Joanna Shitta.



Katika Kusherehekea Mwaka Mmoja Wa Ndoa Yao Joe Praise Ameandika;

Abeg let us just replay this match for Xbox and win Croatia by ourselves since our boys are still enjoying their fine fine jersey, at least after winning Croatia by myself I can enjoy my celebrations and just thank God for all he has done for us as we mark our one year wedding anniversary tomorrow 17th June #jojo1717 Thank You Jesus.

Comments