RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ANGELINA MABULA AWAFARIJI WAFIWA MSIBA WA MAMA WA SHIGONGO



MBUNGE wa Jimbo la Ilemela CCM) na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amewasili katika msiba wa Mama wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Bi. Asteria Kahabi Kapela aliyefariki dunia alfajiri ya jana Ijumaa, Julai 27, 2018 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.


Mabula amefika kujumuika na ndugu, jamaa, marafiki na wanafamilia wa Shigongo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa na kuwafariji.


PICHA NA DENIS MTIMA | GPL

Comments