RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Frank Mwangoka na Beatrice Mwaipaja Wasema “USIFE MOYO”

Muimbaji wa nyimbo za Injili Kutoka Dar es Salaam Tanzania anayejulikana kwa jina la Frank Mwangokaameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya unaoitwa USIFE MOYO ambao ameshirikisha Muimbaji Wa Gospel Tanzania Beatrice Mwaipaja.



wimbo huu wa USIFE MOYO ni kwa ajili ya kuwatia moyo watu ambao wanakata tamaa kutokana na majaribu mbaimbali wanayoyapitia kwa kuwasihi wasife Moyo kwakuwa Mungu yupo na anajibu Maombi kwa wale wote wanaoamua kumfuata yeye. wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Deey recordsiliyopo jijini Dar es salaam chini ya mikono ya prodyuza Deey, video imeongozwa na director Jackson Joackim kutoka Blessing Studios.

Comments