RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Video; Travis Greene Athibitisha Kutua Nigeria Mwezi Huu.



Mwimbaji Wa Muziki Wa Injili Kutoka Nigeria Timothy Godfrey Maarufu Kama Tim Godfrey Ambaye Pia Huandaa Matamasha Makubwa Yanayoitwa Fearless.



Katika Matamasha Haya Huwaleta Waimbaji Wakubwa Mbalimbali Kutoka Marekani. Aliwahi Kumleta Marvin Sapp Na Hata Kirk Franklin.

Mwaka Huu Amejipanga Kumleta Mwimbaji Mwingine Mkubwa Kutoka Marekani Aitwaye Travis Greene. Tayari Travis Amethibitisha Uwepo Wake Katika Event Hiyo Kubwa.


Msikilize Hapa;
BONYEZA HAPA CHINI

Comments