RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RULEA SANGA: LIFANYIE KAZI WAZO LAKO MAPEMA

Wazo lako lifanyike kazi mapema kabla halijapotea kwa kumshirikisha Mungu kwanza. Wazo likizoeleka mara nyingi huwa la kawaida. Unapopata wazo chukua maamuzi mapema bila ya kuwa na woga.





Comments