RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHEKELEA STAND UP COMEDY | DUUH! USIPOCHEKA NIDAI ‘MB’ ZAKO, STEVE NYERERE KIBOKO! – VIDEO

Ni usiku wa Chekelea Stand Up Comedy, katika ukumbi wa Kebbys Hotel iliyopo Mwenge, ambapo wasanii kibao wa vichekesho akiwemo Oscar Nyerere, Black Passy, JK Comedian na wengine wengi wanafanya shoo ya kuwavunja watu mbavu.
Miongoni mwa wasanii walioufanya usiku huo kuwa wa kipekee kabisa ni Steve Nyerere, ambaye katika video hii ukimtazama utacheka mpaka usahau shida zote za dunia kama unabisha angalia mwenyewe.

Comments