RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

LADY JAYDEE ALIVYOTEMBELEA KITUO CHA REDIO CHA PRAISE POER RADIO

Matukio katika picha wakati mwanamuziki maarufu duniani Lady Jaydee alivyotembelea 
kituo cha redio cha Praise Power Radio 99.3FM baada ya kushiriki Ibada katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 24.07.2022 akiwa ameongozana na Diwani wa Kata ya Kawe Mhe. Mutta Rwakatare. Kwa wale wasiojua Ebenezer TV, inapatikana katika king'amuzi cha startimes 129 antena

































 

Comments