RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JUDITH WAMBURA (LADY JAYDEE) ATEMBELEA EBENEZER TV

Matukio katika picha wakati mwanamuziki maarufu duniani Lady Jaydee alivyotembelea 
kituo cha TV cha Ebenezer TV baada ya kushiriki Ibada katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 24.07.2022 akiwa ameongozana na Diwani wa Kata ya Kawe Mhe. Mutta Rwakatare. Kwa wale wasiojua Ebenezer TV, inapatikana katika king'amuzi cha startimes 129 antena













Comments