RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JUDITH WA MBURA (LADY JAYDEE) AKIONGOZANA NA MWENYEJI WAKE MHE MUTTA RWAKATARE (DIWANI WA KATA YA KAWE) ATEMBELEA KABURI LA HAYATI BISHOP MHE> GERTRUDE RWAKATARE

 Matukio katika picha wakati mwanamuziki maarufu duniani Judith Wambura (Lady Jaydee) alivyotembelea na kujionea kaburi la hayati Bishop Gertrude Rwakatare ambale ndiye mwanzilishi wa makanisa ya Mlima wa Moto duniani na aliyekuwa Mkurugenzi wa Shule za St. Mary' Internationa Shools na pia Mbunge katika Taifa la Tanzania. Matembezi haya yalifanyika " siku ya Jumapili 24.07.2022 yakiongozwa na Diwani wa Kata ya Kawe Mhe. Mutta Rwakatare. Kwa wale wasiojua Ebenezer TV, inapatikana katika king'amuzi cha startimes channel 129 antena













.




Comments