RULEA SANGA | USISUBIRI MTU AKUPE FURAHA WAKATI NA YEYE ANAHITAJI FURAHA KAMA WEWE
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Usisubiri mtu akupe furaha kwa maana na yeye anahitaji furaha kama wewe. Ongea na Mungu atakusaidiaje uwe na furaha kama watu wengine walivyo na furaha katika maisha yao wala usipoteze time yako kumsubiri mwanadamu akupe furaha.
Comments