RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION


FLORA MBASHA NA MUMEWE WAWAPAGAWISHA WAMAREKANI KWA UIMBAJI WAO.


Flora Mbasha na mumewe wakiimba kwa upako Jumapili katika kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministires huko Adelphi Md.
Tangazo la mkutano uliohudumiwa na Mch. Deo lubala, huku mwimbaji wa kimataifa Flora mbasha na mumewe wakiwa ndio waimbaji wakuu.

Mambo ya stejini
Haya bwana, mambo ya majuu hayo
Mbasha na wenyeji wake wakipata maakuli

Comments