RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HATIMAYE MSHINDI WATATU WA MILLION 50 PROMOSHENI YA MZUKA WA AIRTEL ATOKEA DODOMA

Mshindi watatu wa million 50 promosheni ya mzuka wa Airtel Atokea Dodoma Jumatatu 05 Machi, 2012. mshindi wake wa tatu wa promosheni ya Mzuka wa Airtel amepatikana katika droo kubwa iliyofanyika 'live" katika kituo cha television cha ITV ambapo Bwana Peter Lucas Laizer mwenye umri wa miaka 28 ambae ni mtaalamu wa madini na mkazia wa Dodoma ameibuka kuwa mshindi na kujinyakulia kitita cha shillingi milioni 50 pesa taslim.


Akiongea wakati wa kutangaza mshindi huyo Meneja Uhusiano wa Airtel Bw.Jackson Mmbando alisema" Tunawashukuru wateja wa wetu kwa kushiriki katika promosheni ya Mzuka wa Airtel kuanzia mwanzo mpaka mwisho ambapo leo tumeweza kumpata mshindi wetu mwisho wa droo ya tatu ya shilingi milioni 50 Bwana Peter Lucas Laizer mkazi wa Dodoma, pia napenda kuwapongeza washindi wote ambao wameweza kujishindia zawadi mbali mbali kama muda wa maongezi, simu aina ya Samsung, Samsung ipads pamoja na washindi wa watatu wa milioni hamsini waliopatikana katika promosheni hii ya mzuka "

Kwa wateja wetu wa Airtel bado tuna nafasi ya kujishindia kupitia promosheni ya Nani mkali, ambayo inaendelea kwa sasa na kuwapa nafasi wateja wetu kujishindia pesa taslim , kila siku washindi watajishindia shilin milioni moja , kila wiki shilingi million tatu na mshindi wa mwenzi atajishindia shilingi milioni 30.aliongeza mmbando kujiunga ni bure, ili kushiriki andika neno "Mkali" tuma kwenda 15656, Baada ya hapo atatumiwa maswali na kila atakapo toa jibu sahihi atapata pointi 20 na jibu lisilo sahihi pointi 10.Kila ujumbe wenye jibu utatozwa shillingi 350 pamoja na kodi.

Comments