Laugh Again Concert Yavunja Mbavu Za Watu
Ile Big event Ya Laugh Again imefanyika leo katika Ukumbi wa Landmark Hotel na kukusanya mamia ya wakazi wa Dar na vitongoji vyake.
Tamasha hilo la Kuvunja mbavu lilisindikizwa na Wachekeshaji wanne chini ya Uongozi wa King Of Standing Comedy Tanzania President Chavalla. Wengine ni Allan Chidundo kutoka Mkoa wa Pwani, Gelard kutoka Chuo Cha Ardhi na Mc Pilipili.
Pia waimbaji Victor Aron, Madam Ruth, DSM Gospel Band na Glorious Celebration walikuwepo siku leo kwenye tukio.
Pia waimbaji Victor Aron, Madam Ruth, DSM Gospel Band na Glorious Celebration walikuwepo siku leo kwenye tukio.
Dsm Gospel Band wakitumbuiza Jioni ya Leo kwenye Laugh Again
Kushoto ni Allan, Mwenye Tai Nyekundu ni Mc Pilipili wa Kulia ni Gelard wakati wakijitambulisha
Hawa ni kati ya wadau waliohudhuria Laugh Again Concert walilipia kucheka
Mc Pilipili kutoka Mkoani Dodoma
Presidaa Chavalla
Kundi la Dance likiwa stejini
Mc Pilipili Ya Shughuli alichekesha mbaya sana leo kwenye Tamasha, hapa alikuja na Visoda vilivyokuwa vikitumika enzi hizo kuhesabia dogo anakuja kasi sana mjini kwa sasa
Glorious Band wakiwa kazini
Baadhi ya wapigaji wa Glorious
Waimbaji
Blogger Uncle Jimmy akiwa anaenda sawa na Jacqueline Moshi
Comments