RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NTOKOZO MBAMBO AJITOA JOYOUS CELEBRATION- NDANI YA FACEBBOK

Ntikozo na Smile yake
Mwanadada Mahili mwenye sauti ya ukweli aliyeimba kwenye Joyous Celebration wimbo wa "My Healer" lakini maarufu kwa Wimbo wa "In The Shadow Of Wing' alioimba kwenye Joyous 11 na zingine za nyuma Ntokozo Mbambo, amefunguka kwenye Facebook Wall yake na kueleza kuwa ameamua kuachana na Joyous na kuamua kufanya Solo Artist. 
Ntokozo katika Shooting ya JC 15

Ingawa Mwanamuziki huyo haya "Efatha" Wazi Wazi kwanini ameamua kujitoa Kundi Maarufu la Joyous chanzo cha kuaminika kinasema Ntokozo ameamua kufanya kama Solo Artist baada ya kufanya vizuri sana kwenye Live Shooting wa Albam yake aliyofanya Launching tarehe 10 February, 2012. Na akaona bora aendeleze kazi zake binafsi za Muziki.
                         Hii ndo inasadikika Albam iliyompa mafanikio mpaka akaamua kujitoa.


Chanzo cha uhakika ndani ya Joyous kinasema habari za kujitoa kwake zilikuwa kwa mstuko kama siku za nyuma alipojitoa mwanamuziki mwingine mwenye jina la Rebecca. Habari hizi zilistua sana sababu Ntokozi alikuwa anatazamiwa kuwa kati ya Wanamuziki watakaoshika tena Microphone katika Joyous 16 ambayo mwezi April inaanza kufanyiwa  Shooting.
                     Ntokozo akiwa na mumewe bwana Nqubeko Mbatha ambaye ni Music Director wa JC

Comments