RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TANZANIA GOSPEL TEAM YAJIFUNGUA WATOTO WAWILI KWA MPIGO.
MAJINA YAO NI NEMBO NA BLOGU

Tanzania Gospel ni timu ya mpira wa miguu (Football)  na mpira wa mikono (Netball) ambayo inahusisha waimbaji, maproduza na watangazaji wa nyimbo za injili kutoka makanisa tofauti tofauti nchini Tanzania. Timu hii imeanzishwa mwaka 2012 Januari mwishoni kwa lengo la kuwaweka fit wachezaji na kwa kufanya hivyo itawasaidia katika kazi zao za uimbaji na utangazaji kwa kuwa na sauti nzuri.

Mbali na kuweka fit wachezaji, pia timu hizi zinasaidia kujenga umoja na kufahamiana na kubadilishana mawazo.

Tanzania Gospel Team imefanyika gumzo jijini Dar es Salaam kutoka na ushindi ambao wanaupata katika mechi zao za kila siku.

Leo hii wameweza kuwjipatia Nembo (logo) yao na blogu inayoenda kwa jina la www.tanzaniagospelteam.blogspot.com.

Mtengenezaji wa Nembo na Blogu ni yuleyule mzee wa mablogu, Rulea Sanga ambaye anamiliki blogu hii. Ukitaka na wewe kujipatia mambo kama haya wasiliana nae kwa

Rulea Sanga
Simu: +255 715 85 15 23 | +255 768 95 22 14 | +255 684 88 64 89
Barua pepe: rumatz2012@gmail.com
Facebook: Rulea Sanga
 Rulea Sanga akitafakari
 Sanga Rulea akiwa na waandishi wa habari katika kumtafuta mshindi wa promosheni za Tigo
 Pamela Shelukindo (kushoto) akiwa na mtalaamu wa blogs na graphics Rulea Sanga katika ofisi za Tigo

 Mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye ameolewa karibuni na mchungaji akiwa na mtumishi wa Mungu, Rulea Sanga (kulia) katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B
 Rulea na mzungu 
 Rulea akiwa katika ofisi ya mkuu wa mkoa Singida kikazi aki-sign
 Akiwa na watangazaji wa radio za injili Tazania
Rulea (kushoto) na mwimbaji wa Glorious Celebration Imma solo 


Na bado mambo kibao anategemea kufanya kazi na timu hii, kwa sasa ameweza kutengeneza Business Cards, Letterheads, Tshirts, Jessey za wachezaji kwa kuweka lebo.

Mbali na kazi hizo zote, amekuwa mtalaamu wa shooting na ku-update blogu ya timu....Tunategemea mengi kutoka kwake.

Mungu na amuwezeshe Rulea Sanga na kuiwezesha timu ya Tanzana Gospel kuwa na ushindi.

Comments