- Get link
- X
- Other Apps
WAZIRI WA HABARI AKUTANA NA UJUMBE WA I.O.C
Mkurugenzi wa Kamati ya Ushirikiano na Maendeleo ya Olympic ya kimataifa Thomas Ganda Sithole (wa kwanza kulia) akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Abdillah Jihad Hassan huko ofisini kwake Kikwajuni.Ujumbe huo ulifika na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo Program ya Michezo na Mafunzo Mashuleni.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI ALI MAELEZO ZANZIBAR

Comments