RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUIMBA NYIMBO ZA MAPENZI?


Marvin Sapp

Marvin Sapp ni muimbaji wa Injili anayependwa na kutokana na nyimbo zake zenye kumsifu Mungu album yake ya mwisho kufanya I WIN imemfanya awe na mafanikio na kuinuliwa zaidi. Lakini sasa anaongea na vyombo vya habari kusema anataka kutoa nyimbo za mapenzi kuanzia sasa.

Hivi hii imekaaje? nyimbo za mapenzi zina shida gani zikiimbwa na waimbaji wa injili? Nakumbuka muimbaji wa Injili aliwahi kuimba wimbo mzuri MAISHA YA NDOA kutoka kwenye album yake ya kwanza Jipe moyo. Sikiliza wimbo wa Flora Mbasha


SIKILIZA NYIMBO ZAKE

Never Would've Made It - Marvin Sapp

Marvin Sapp - The Best In Me

Pastor Marvin Sapp Sings At His Wife's Homegoing Service

Marvin Sapp - So Glad I Made It


Comments