RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NENO LA MUNGU LA LEO JUMATANO KUTOKA KATIKA BIBLIA

 Hagai 1:8

Fedha ni mali yangu, dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi, utukufu wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza.


Mithali 24:1

Usiwahusudu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, na midomo yao huongea madhara.



Zaburi: 117:1

Haleluya, Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote mhimidini, maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, uaminifu wa BWANA ni wa milele
MUNGU NA AKUBARIKI KWA NENO HILI

Na Rulea Sanga the blogger

Comments