RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NOKIA WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA NOKIA "ASHA"JIJINI DAR ES SALAAM.


Meneja wa Nokia Nchini Tanzania, Samson Majwala (kushoto) akitoa zawadi ya Simu ya Nokia “Asha” kwa Dj Fetty wa Radio Cloudz wakati wa uzinduzi wa simu ya Nokia ”Asha” 200,302,303, uliofanyika kwenye Klabu ya Billicanas Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 

Balozi wa Nokia “Asha”, Rachel Samweli (katikati) akiwaelekeza wateja ubora wa simu hiyo wakati wa uzinduzi wa simu ya Nokia ”Asha” 200,302,303, uliofanyika kwenye Klabu ya Billicanas Dar es Salaam

Balozi wa Nokia “Asha”, Rachel Samweli (katikati) akiwaelekeza wateja ubora wa simu hiyo wakati wa uzinduzi wa simu ya Nokia ”Asha” 200,302,303, uliofanyika kwenye Klabu ya Billicanas Dar es Salaam 

Balozi wa Nokia “Asha”, Abdalah Ngoma (wa pili kulia) akiwaelekeza wateja ubora wa simu hiyo wakati wa uzinduzi wa simu ya Nokia ”Asha” 200,302,303, uliofanyika kwenye Klabu ya Billicanas Dar es Salaam
Mtangazaji na Dj wa Radio ya Cloudz fm, Fatuma Hassan(Fetty), (kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa simu ya Nokia ”Asha” 200,302,303, uliofanyika kwenye Klabu ya Billicanas Dar es Salaam .Kushoto ni Mtangazaji wa Radio ya East Afrika,Anna Peter,na mtangazaji wa Radio Cloudz, Hamis Mandi(B12 
  
Meneja wa Nokia Nchini Tanzania, Samson Majwala (kushoto) akitoa zawadi ya Simu ya Nokia “Asha”kwa Mtangazaji wa Radio ya East Afrika,Anna Peter.
 Wakiwa na furaha mara baada ya kupata zawadi ya simu
 Sasa muziki kwenda mbele
Muziki

Comments