RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION


TANZANIA POLITICAL NEWS: RAIS KIKWETE AONGOZA MAFUNZO ELEKEZI KWA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati mafunzo ya wakuu wa mikoa,makatibu tawala na wakuu wa wilaya inayoendelea katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu Mizengo Pinda na Wziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia wakiongoza Mafunzo ya Wakuu wa mikoa, Makatibu Tawala wa mikoa na Wakuu wa wilaya yanayofanyika katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma.

Comments