RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RAY THE GREATEST AKIHUDHURIA MISS MTWARA 2012 . AKIWA KWENYE POZI LA PICHA!

Nilipata mwaliko wa kwenda Mkoa wa Kusini( Mtwara) kwa ajili ya kuwa Jaji mkuu katika shindano la Miss Mtwara mwaka 2012 nami sikusita kuitikia wito na kwenda kuwa mmoja wa majaji katika mpambano huo kumtafuta mlimbwende wa Miss Mtwara 2012 twendeni tuone mambo yalivyokuwa....


Hapa nikiwa hotelini nikisubiri muda ufike ili niweze kwenda katika ukumbi uliondaliwa kwa ajili ya tukio ilo

The Greatest nikiwa nimefika kwenye ukumbi nikiwa jaji mkuu wa Miss Mtwara. hapa nikiwa katika maandalizi ya mwisho kabla ya mpambano kuanza

Miss Mtwara 2012 ndiyo huyoooo.

Comments