RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ALBUM YA MTUMISHI WA MUNGU, DEBORAH SAID KUZINDULIWA NDANI YA KANISA LA MAISHA YA USHINDI

Ilikuwa ni siku ya furaha na ndelemo katika uzinduzi wa album ya Deborah Said. Lengo la kufanya uzinduzi huu ni kuchangia ujenzi wa kanisa la hilo la Maisha ya Ushindi lililoko Ubungo External Dar es Salaam. Deborah Said ni mama Mchungaji wa kanisa hilo

Thomas Mwakalibule akiwa na Deboraha Said akizindua Audio CD
Mgeni Rasmi akiangalia CD ianayoenda kwa jina la Mti wenye Matunda
Mwimbaji wa nyimbo za injili Deborah Said alikuwa MC

Mchungani John Said na mgeni rasmi Michael Anaki wa Huduma ya Akuzamu (kulia)
Mchungaji Michael Anaki wa Huduma ya Akuzamu (kushoto) akizindua albamu

Pia Chris na madam Ruth walikuwepo wakihuduma mahali hapa

Mtangazaji wa Praise Power radio, Victor Haron

RUMA AFRICA inawapongeza sana waliohusika na uzinduzi huo na Deborah Said


Comments